KATIBA YA KENYA
Tools | 10.5MB
Katiba ya Kenya App iliyo kwenye mtandao wa Android ni toleo la Kiswahili la Katiba ya Kenya, inatoa maelezo yaliyo rahisi kusoma, yanayomwezesha mtu kutambaa katika sura, vifungu, na sehemu zote za Katiba, kwa njia rahisi. Haya yote yako kwa mara ya kwanza katika Android, kwa lugha ya taifa ya Kenya: Kiswahili.
Kizuizi cha kisheria:Toleo hili halina madhumuni ya kutoa tafsiri rasmi ya Katiba ya Kenya, au ushauri wa kisheria, ila tu maelezo yaliyo karibu kabisa na maana rasmi yaliyochapishwa kwa lugha ya Kiingereza kulingana na maelezo yapatikanayo katika nyaraka za umma na tovuti zilizopo.
Error on Startup Fix