KATIBA YA KENYA

3 (9)

Alatan | 10.5MB

Penerangan

Katiba ya Kenya App iliyo kwenye mtandao wa Android ni toleo la Kiswahili la Katiba ya Kenya, inayotoa maelezo yaliyo rahisi kusoma, yanayomwezesha mtu kutambaa katika sura, vifungu, na sehemu zote za Katiba, kwa njia rahisi. Haya yote yako kwa mara ya kwanza katika Android, kwa lugha ya taifa ya Kenya: Kiswahili.
Kizuizi cha kisheria:Toleo hili halina madhumuni ya kutoa tafsiri rasmi ya Katiba ya Kenya, au ushauri wa kisheria, ila tu maelezo yaliyo karibu kabisa na maana rasmi yaliyochapishwa kwa lugha ya Kiingereza kulingana na maelezo yapatikanayo katika nyaraka za umma na tovuti zilizopo.

Show More Less

Yang Baru KATIBA YA KENYA

*UI Improvement and Better User Experience
* User Registration
*Introduced Premium Explanations for Selected Articles
*Introduced Monthly Payments Feature (M-Pesa)
*Introduction Walkthrough of the Katiba and Terms and Conditions
*Better Performance

Maklumat

Dikemas kini:

Versi Semasa: 2.0.1

Memerlukan Android: Android 4.2 or later

Rate

Share by

Awak juga mungkin menyukai