Azam TV ni kampuni ya matangazo ya televisheni iliyopo nchini Tanzania na inayomilikiwa na mfanyabiashara Saidi Salim Bakhresa.
Kampuni hii inarusha matangazo yake katika nchi za Afrika mashariki na ya kati (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda n.k.).
NOTE: Not supported by the tv, just by its supporters and fans.