Are you finding some interesting apps? 30,000+ users downloaded Ufugaji latest version on 9Apps for free every week! In my opinion, you will like this app after use it. This hot app was released on 2018-04-19. Here are some guides of this app:
App hii imeandaliwa kwa ajili ya wanaopenda kujifunza ufugaji bora wa mifugo au wanaopenda kuobresha ufugaji wao wa mifugo. Inatoa elimu ya mifugo yote inayofugwa sehemu mbalimbali duniani. Ni kupitia app hii utajifunza mbinu mbalimbali za ufugaji na namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za ufugaji kubwa ikiwa ni magonjwa. Pakua app hii sasa na mjulishe na mwenzio maana inapatikana bure kabisa ili mradi uwe na smartphone.
Ufugaji 1.0
Jipatie elimu bure ya ufugaji wa mifugo mbalimbali na jifunze namna ya kupambana na magonjwa ya mifugo