Mawazo ya Biashara icon

Mawazo ya Biashara

4.1.0 for Android
3.0 | 10,000+ Installs

Kwetumedia company ltd

Description of Mawazo Ya Biashara

Saatnya untuk update aplikasi kamu. 30,000+ Pengguna mendownload Mawazo Ya Biashara versi terbaru di 9Apps secara gratis! Aplikasi paling mantap di dunia sedang menunggumu di sini. Aplikasi HOT ini di rilis tanggal 2019-01-04. Untuk membaca info lain tentang mobile apps, Anda bisa klik di 9Apps.
Mawazo Ya Kibiashara
App hii inayo mkusanyiko wa makala ya mawazo ya kibiashara, ufugaji, uwekezaji mdogo hadi mkubwa, pamoja na biashara za mtandaoni. Makala hayo tofauti tofauti yatakukusaidia kukujenga na kuamua ni biashara ipi unaweza kuifanya kulingana na mtaji ulio nao.
Kunayo makala zaidi ya 300 ambayo yamefanyiwa utafiti na kubainika yanaweza yakaleta mabadiliko chanya kwa wajasiriamali wadogo wadogo ndani ya muda mfupi wa uwekezaji, pia App hii itakupa mbinu za kutunza mtaji mdogo katika biashara na kuukuza kuelekea kuwa mtaji mkubwa.
App hii imewasaidia vijana zaidi ya 50 walioamua kufanyia kazi moja ya mawazo yaliyopo na kuwafanya kuwa wajasiriamali wazuri na wazalishaji wazuri. Kuna mengi yakujifunza ndani ya App hii kuhusu biashara ikiwemo
1.Jinsi ya kupata mtaji✔️
2.Jinsi ya kukuza mtaji mdogo kuelekea mkubwa✔️
3.Jinsi ya kupanua biashara✔️
4.Jinsi ya kupata wateja wakudumu✔️
5.Jinsi ya kutangaza biashara✔️
6.Jinsi ya kuongeza uzalishaji✔️
Hayo ni machache kati ya yaliyomo kwenye App hii ambayo kwa uhakika tunajua yatakubadilisha na kukupa mitazamo mipya juu ya uwekezaji/Ujasiriamali. Karibu Pakua App Hii Uanze Kujifunza, Kwa Msaada wa haraka na maelezo zaidi wasiliana nasi kwa Email: mkwetumediainc@gmail.com

Information

  • Category:
    Education
  • Latest Version:
    4.1.0
  • Updated:
    2018-12-30
  • File size:
    7.7MB
  • Requirements:
    Android 4.4 or later
  • Developer:
    Kwetumedia company ltd
  • ID:
    com.mawazo.biasharatz