Usafiri Client icon

Usafiri Client

3.0 for Android
3.0 | 10,000+ Yükleme sayısı

Nguyên Trần

Açıklaması Usafiri Client

Huduma ya Usafiri ni muhimu kwa kila mtu,hivyo ni bora kuwa mkononi mwa kila mtu,usiposafiri na Ndege,basi utasafiri na Gari(Taxi),Bajaji,Pikipiki au Bicycle,vyote ni usafiri, ni nani ambaye hajawahi kuhama,uliitaji usafiri wa aina yake kukuhamisha,hata wakati unajenga kwako uliitaji usafiri kufikisha vifaa eneo husika,basi leo hii application inaweka huduma hizo zote mkononi na ni salama kwa kila mtumiaji

Bilgi

  • Kategori:
    Haberleşme
  • Mevcut Sürüm:
    3.0
  • Güncellendi:
    2016-11-02
  • Boyut:
    13.2MB
  • Gereken Android sürümü:
    Android 2.3 or later
  • Geliştirici:
    Nguyên Trần
  • ID:
    com.usafiri.now.client