Akili Test icon

Akili Test

1.5 for Android
3.0 | 10,000+ インストール

Sika Zoom

説明 Akili Test

Akili test hukupa maswali tofauti kwa ajili ya kujua uwezo wako wa kufikiri. Na maswali hayo yapo katika kujua uwezo wako wa hesabu,kung`amua baadhi ya mambo na mengine kwa uwezo wako wa kufikiria utaweza kuyapata. Kama swali utakua umepata basi utaonyeshwa alama ya vema na kama umekosa basi utaona alama ya kosa. Na mwisho utaona umepata ngapi katika maswali mangapi.
Pia kuna sehemu ya 'High Score Board' hii kuweza kukuonyesha tatu bora ulizopata nyingi, kwa mfano umefanya maswali mara 50 huonyesha mara 3 ambazo uliweza kupata nyingi
Pia unaweza ukarudia kufanya Akili test mara nyingi uwezavyo ila utabadilishiwa baadhi ya maswali. Akili Test ni kwa ajili ya sababu za kuelemisha

新機能 Akili Test 1.5

Kwenye hii updated version baadhi ya maswali tofauti yameongezeka. Pia kuna vitu vilikua haviendi sawa vimerekebishwa.

情報

  • カテゴリー:
    教育
  • 最終のバージョン:
    1.5
  • 更新日:
    2017-04-06
  • サイズ:
    14.2MB
  • 動作環境:
    Android 3.2 or later
  • 開発元:
    Sika Zoom
  • ID:
    com.NamsweaTech.AkiliTest