Kilimo Tanzania. icon

Kilimo Tanzania.

1.2 for Android
4.8 | 5,000+ インストール

Mshindo Media

説明 Kilimo Tanzania.

App yetu inatoa mafunzo ya Ujasiriamali katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimotrust.com. Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: mshindomediatz@gmail.com
WhatsApp: 255 762 799 080
.
*****************************************************************
Android Solutions
Designed by;
Mshindo Android Solutions
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: 255 762 799 080
Email: mshindomediatz@gmail.com

新機能 Kilimo Tanzania. 1.2

Kilimo Tanzania App sahihi kwako!!
Mchanganuo wa Mafunzo katika makundi teknolojia endelevu.
Sasa unaweza kujifunza kwa urahisi kwa kuzingatia elimu unayohitaji.
Kupitia: KILIMO, BIASHARA,BUSTANI/ MATUNDA, MAPISHI na TEKNOLOJIA.

情報

  • カテゴリー:
    教育
  • 最終のバージョン:
    1.2
  • 更新日:
    2021-06-12
  • サイズ:
    16.5MB
  • 動作環境:
    Android 5.0 or later
  • 開発元:
    Mshindo Media
  • ID:
    com.xstudios.mjasiriamaliplusapp
  • Available on: