FastGram - social network Share&post media

3 (5)

소셜 | 2.9MB

기술

FastGram ni social media sharing photo script iliyotengenezwa na BLM
katika app hii utaweza kupost picha,video,links na mambo mengine mengi
pia waweza nunua bussness account ili uweze kutangaza biashara yako
pamoja nakuboost post zako ili ziwafikie watu wengi zaidi
Ads system
hii ni system itakayokuwezesha kupost matangazo ya kibiashara kama ilivyo kwenye social media app nyingine ila sisi tutakufanyia kwa bei rahisi kuanzia 1$ per week
Bussness account
hii ni account special itakayokuwezesha kuboost post zako hivyo zitakaa kama tangazo ambapo account hii utaipata kwa 4$per 3months
BLM technologies tunawashukuru wote mnaotumia mtandao huu.

Show More Less

새로운 소식 FastGram

post,share,like,comment e.t.c
new theme included
night mode and normal mode
chat system
ads systems

정보

업데이트 날짜:

현재 버전: 1

필요한 Android 버전: Android 4.0.3 or later

Rate

Share by

당신은 또한 좋아할 수 있습니다