A descrição de
Swahili Islamic Quiz
Swahili Islamic Quiz ni app inayotoa elimu ya dini kupitia chemsha bongo ya maswali yanayohusu topiki mbalimbali za dini kama vile Qur-aan, Hadiyth, 'Aqiydah na Ujuzi Mbalimbali. App hii itakuwa inaongezewa maswali katika kila toleo jipya.